akawajibu kama vile walivyomshauri vijana, akasema, Baba yangu alilifanya zito kongwa lenu, bali mimi nitaongeza kongwa lenu; baba yangu aliwapiga kwa mijeledi, bali mimi nitawapigeni kwa nge.
Methali 5:13 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Wala sikuisikia sauti ya waalimu wangu, Wala sikuwategea sikio langu walionifundisha! Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Sikuisikiliza sauti ya waalimu wangu, wala kuwategea sikio wakufunzi wangu. Biblia Habari Njema - BHND Sikuisikiliza sauti ya waalimu wangu, wala kuwategea sikio wakufunzi wangu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Sikuisikiliza sauti ya waalimu wangu, wala kuwategea sikio wakufunzi wangu. Neno: Bibilia Takatifu Sikuwatii walimu wangu, wala kuwasikiliza wakufunzi wangu. Neno: Maandiko Matakatifu Sikuwatii walimu wangu wala kuwasikiliza wakufunzi wangu. BIBLIA KISWAHILI Wala sikuisikia sauti ya waalimu wangu, Wala sikuwategea sikio langu walionifundisha! |
akawajibu kama vile walivyomshauri vijana, akasema, Baba yangu alilifanya zito kongwa lenu, bali mimi nitaongeza kongwa lenu; baba yangu aliwapiga kwa mijeledi, bali mimi nitawapigeni kwa nge.
Nitaondoka, nitakwenda kwa baba yangu na kumwambia, Baba, nimekosa juu ya mbingu na mbele yako;
Basi yeye anayekataa, hakatai mwanadamu bali Mungu, anayewapa ninyi Roho wake Mtakatifu.
Wakumbukeni wale waliokuwa wakiwaongoza, waliowaambia neno la Mungu; tena, kwa kuuchunguza sana mwisho wa mwenendo wao, iigeni imani yao.