Methali 4:22 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Maana ni uhai kwa wale wazipatao, Na afya ya mwili wao wote. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Maana hayo ni uhai kwa mtu anayeyapata, ni dawa kwa mwili wake wote. Biblia Habari Njema - BHND Maana hayo ni uhai kwa mtu anayeyapata, ni dawa kwa mwili wake wote. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Maana hayo ni uhai kwa mtu anayeyapata, ni dawa kwa mwili wake wote. Neno: Bibilia Takatifu kwa sababu ni uzima kwa wale wanaoyapata na afya kwa mwili wote wa mwanadamu. Neno: Maandiko Matakatifu kwa sababu ni uzima kwa wale wanaoyapata na afya kwa mwili wote wa mwanadamu. BIBLIA KISWAHILI Maana ni uhai kwa wale wazipatao, Na afya ya mwili wao wote. |
Naye akanifundisha, akaniambia, Moyo wako uyahifadhi maneno yangu; Shika amri zangu ukaishi.
Tazama, nitauletea afya na kupona, nami nitawaponya; nami nitawafunulia wingi wa amani na kweli.