Methali 4:20 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Mwanangu, sikiliza maneno yangu; Tega sikio lako, uzisikie kauli zangu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mwanangu, sikiliza kwa makini maneno yangu, itegee sikio misemo yangu. Biblia Habari Njema - BHND Mwanangu, sikiliza kwa makini maneno yangu, itegee sikio misemo yangu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mwanangu, sikiliza kwa makini maneno yangu, itegee sikio misemo yangu. Neno: Bibilia Takatifu Mwanangu, yasikilize kwa makini yale ninayokuambia; sikiliza kwa makini maneno yangu. Neno: Maandiko Matakatifu Mwanangu, yasikilize kwa makini yale ninayokuambia; sikiliza kwa makini maneno yangu. BIBLIA KISWAHILI Mwanangu, sikiliza maneno yangu; Tega sikio lako, uzisikie kauli zangu. |
Tegeni masikio yenu, na kunijia; Sikieni, na nafsi zenu zitaishi; Nami nitafanya nanyi agano la milele, Naam, rehema za Daudi zilizo imara.
Alipokuwa bado akisema, tazama, wingu jeupe likawatia uvuli; na tazama, sauti ikatoka katika lile wingu, ikasema, Huyu ni Mwanangu, mpendwa wangu, ninayependezwa naye; msikieni yeye.