Methali 31:25 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Nguvu na hadhi ndiyo mavazi yake; Anaucheka wakati ujao. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Nguvu na heshima ndizo sifa zake, hucheka afikiriapo wakati ujao. Biblia Habari Njema - BHND Nguvu na heshima ndizo sifa zake, hucheka afikiriapo wakati ujao. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Nguvu na heshima ndizo sifa zake, hucheka afikiriapo wakati ujao. Neno: Bibilia Takatifu Amevikwa nguvu na heshima, anaweza kucheka bila kuwa na hofu kwa siku zijazo. Neno: Maandiko Matakatifu Amevikwa nguvu na heshima, anaweza kucheka bila kuwa na hofu kwa siku zijazo. BIBLIA KISWAHILI Nguvu na hadhi ndiyo mavazi yake; Anaucheka wakati ujao. |
Nitafurahi sana katika BWANA, nafsi yangu itashangilia katika Mungu wangu; maana amenivika mavazi ya wokovu, amenifunika vazi la haki, kama bwana arusi ajipambavyo kwa kilemba cha maua, na kama bibi arusi ajipambavyo kwa vyombo vya dhahabu.
Vivyo hivyo wanawake na wajipambe kwa mavazi ya kujisitiri, pamoja na adabu nzuri, na moyo wa kiasi; si kwa kusuka nywele, wala kwa dhahabu na lulu, wala kwa nguo za thamani;