na imwangukie Yoabu kichwani pake, na nyumba yote ya babaye, tena hiyo nyumba ya Yoabu isikose kuwa na mtu mwenye kutoka damu, au aliye na ukoma, au mwenye kutegemea fimbo, au mwenye kuanguka kwa upanga au mwenye kuhitaji chakula.
Methali 31:19 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Hutia mikono yake katika kusokota; Na mikono yake huishika pia. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Husokota nyuzi kwa mikono yake mwenyewe, kwa vidole vyake mwenyewe husuka nguo zake. Biblia Habari Njema - BHND Husokota nyuzi kwa mikono yake mwenyewe, kwa vidole vyake mwenyewe husuka nguo zake. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Husokota nyuzi kwa mikono yake mwenyewe, kwa vidole vyake mwenyewe husuka nguo zake. Neno: Bibilia Takatifu Huweka mikono yake kwenye pia, navyo vidole vyake hushikilia kijiti chenye uzi. Neno: Maandiko Matakatifu Huweka mikono yake kwenye pia, navyo vidole vyake hushikilia kijiti chenye uzi. BIBLIA KISWAHILI Hutia mikono yake katika kusokota; Na mikono yake huishika pia. |