Hii ilikuwa hali yangu; mchana jua likanipata, na baridi usiku, usingizi ukanitoka machoni mwangu.
Methali 31:18 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Huona kama bidhaa yake ina faida; Taa yake haizimiki usiku. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Hutambua kwamba shughuli zake zina faida; hufanya kazi hata usiku kwa mwanga wa taa yake. Biblia Habari Njema - BHND Hutambua kwamba shughuli zake zina faida; hufanya kazi hata usiku kwa mwanga wa taa yake. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Hutambua kwamba shughuli zake zina faida; hufanya kazi hata usiku kwa mwanga wa taa yake. Neno: Bibilia Takatifu Huona kwamba biashara yake ina faida, wala taa yake haizimiki usiku. Neno: Maandiko Matakatifu Huona kwamba biashara yake ina faida, wala taa yake haizimiki usiku. BIBLIA KISWAHILI Huona kama bidhaa yake ina faida; Taa yake haizimiki usiku. |
Hii ilikuwa hali yangu; mchana jua likanipata, na baridi usiku, usingizi ukanitoka machoni mwangu.
Wanawe hufikia heshima, wala yeye hajui; Kisha wao huaibishwa, lakini yeye hana habari zao.
Kazi yenu ni bure, mnaoamka mapema, Na kukawia kwenda kulala, Na kula chakula cha taabu; Yeye humpa mpenzi wake usingizi.
Maana, ndugu, mnakumbuka taabu yetu na masumbufu yetu; kwa kuwa mchana na usiku tulifanya kazi tusije tukamlemea mtu wa kwenu awaye yote, huku tukiwahubiria Injili ya Mungu.