Methali 31:12 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Humtendea mema wala si mabaya, Siku zote za maisha yake. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kamwe hamtendei mumewe mabaya, bali humtendea mema maisha yake yote. Biblia Habari Njema - BHND Kamwe hamtendei mumewe mabaya, bali humtendea mema maisha yake yote. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kamwe hamtendei mumewe mabaya, bali humtendea mema maisha yake yote. Neno: Bibilia Takatifu Humtendea mumewe mema, wala si mabaya, siku zote za maisha yake. Neno: Maandiko Matakatifu Humtendea mumewe mema, wala si mabaya, siku zote za maisha yake. BIBLIA KISWAHILI Humtendea mema wala si mabaya, Siku zote za maisha yake. |