Moyo wa mumewe humwamini, Wala hatakosa kupata mapato.
Mumewe humwamini kwa moyo, kwake atapata faida daima.
Mume wake anamwamini kikamilifu, wala hakosi kitu chochote cha thamani.
Mume wake anamwamini kikamilifu wala hakosi kitu chochote cha thamani.
Mwanamke mwema ni taji la mumewe; Bali aaibishaye ni kama kuoza mifupani mwake.
Mke mwema, ni nani awezaye kumwona? Maana thamani yake yapita thamani ya marijani.
Humtendea mema wala si mabaya, Siku zote za maisha yake.