Methali 30:27 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Nzige hawana mfalme; Lakini huenda wote pamoja vikosi vikosi. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema nzige: Hawana mfalme, lakini wote huenda pamoja kwa vikosi; Biblia Habari Njema - BHND nzige: Hawana mfalme, lakini wote huenda pamoja kwa vikosi; Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza nzige: hawana mfalme, lakini wote huenda pamoja kwa vikosi; Neno: Bibilia Takatifu Nzige hawana mfalme, hata hivyo huenda pamoja vikosi vikosi. Neno: Maandiko Matakatifu Nzige hawana mfalme, hata hivyo huenda pamoja vikosi vikosi. BIBLIA KISWAHILI Nzige hawana mfalme; Lakini huenda wote pamoja vikosi vikosi. |
Yaliyosazwa na tunutu yameliwa na nzige; na yaliyosazwa na nzige yameliwa na parare; na yaliyosazwa na parare yameliwa na madumadu.
Nami nitawarudishia hiyo miaka iliyoliwa na nzige, na parare, na madumadu, na tunutu, jeshi langu kubwa nililotuma kati yenu.