Akusanyaye wakati wa joto ni mwana mwenye hekima; Bali asinziaye wakati wa mavuno ni mwana mwenye kuaibisha.
Methali 30:25 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Chungu ni watu wasio na nguvu; Lakini hujiwekea chakula wakati wa joto. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Sisimizi: Wadudu wasio na nguvu, lakini hujihifadhia chakula wakati wa kiangazi; Biblia Habari Njema - BHND Sisimizi: Wadudu wasio na nguvu, lakini hujihifadhia chakula wakati wa kiangazi; Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza sisimizi: wadudu wasio na nguvu, lakini hujihifadhia chakula wakati wa kiangazi; Neno: Bibilia Takatifu Mchwa ni viumbe wenye nguvu ndogo, hata hivyo hujiwekea akiba ya chakula chao wakati wa kiangazi. Neno: Maandiko Matakatifu Mchwa ni viumbe wenye nguvu ndogo, hata hivyo hujiwekea akiba ya chakula chao wakati wa kiangazi. BIBLIA KISWAHILI Chungu ni watu wasio na nguvu; Lakini hujiwekea chakula wakati wa joto. |
Akusanyaye wakati wa joto ni mwana mwenye hekima; Bali asinziaye wakati wa mavuno ni mwana mwenye kuaibisha.