Lakini sasa waulize hao wanyama, nao watakufundisha; Na ndege wa angani, nao watakuambia;
Methali 30:24 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Kuna viumbe vinne duniani vilivyo vidogo; Lakini vina akili nyingi sana. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kuna viumbe vinne vidogo sana duniani, lakini vina akili sana: Biblia Habari Njema - BHND Kuna viumbe vinne vidogo sana duniani, lakini vina akili sana: Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kuna viumbe vinne vidogo sana duniani, lakini vina akili sana: Neno: Bibilia Takatifu “Vitu vinne duniani vilivyo vidogo, lakini vina akili nyingi sana: Neno: Maandiko Matakatifu “Vitu vinne duniani vilivyo vidogo, lakini vina akili nyingi sana: BIBLIA KISWAHILI Kuna viumbe vinne duniani vilivyo vidogo; Lakini vina akili nyingi sana. |
Lakini sasa waulize hao wanyama, nao watakufundisha; Na ndege wa angani, nao watakuambia;