Kweli umepiga Edomu, na moyo wako umekutukuza; ujisifu basi, ukae nyumbani mwako. Mbona unataka kujitia bure katika madhara, hata uanguke, wewe na Yuda pamoja nawe?
Methali 3:30 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Usishindane na mtu bila sababu, Ikiwa hakukudhuru kwa lolote. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Usigombane na mtu bila sababu ikiwa hajakudhuru kwa lolote. Biblia Habari Njema - BHND Usigombane na mtu bila sababu ikiwa hajakudhuru kwa lolote. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Usigombane na mtu bila sababu ikiwa hajakudhuru kwa lolote. Neno: Bibilia Takatifu Usimshtaki mtu bila sababu, wakati hajakudhuru kwa lolote. Neno: Maandiko Matakatifu Usimshtaki mtu bila sababu, wakati hajakutenda dhara lolote. BIBLIA KISWAHILI Usishindane na mtu bila sababu, Ikiwa hakukudhuru kwa lolote. |
Kweli umepiga Edomu, na moyo wako umekutukuza; ujisifu basi, ukae nyumbani mwako. Mbona unataka kujitia bure katika madhara, hata uanguke, wewe na Yuda pamoja nawe?
Mtu apitaye na kujisumbua kwa ugomvi usio wake; Ni kama mtu ashikaye mbwa kwa masikio yake.
Tena haimpasi mtumwa wa Bwana kuwa mgomvi; bali kuwa mwanana kwa watu wote, awezaye kufundisha, mvumilivu;