Methali 3:23 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Ndipo utakapokwenda katika njia yako salama, Wala mguu wako hautakwaa. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Hapo utaweza kwenda zako kwa usalama, wala mguu wako hautajikwaa. Biblia Habari Njema - BHND Hapo utaweza kwenda zako kwa usalama, wala mguu wako hautajikwaa. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Hapo utaweza kwenda zako kwa usalama, wala mguu wako hautajikwaa. Neno: Bibilia Takatifu Kisha utaenda katika njia yako salama, wala mguu wako hautajikwaa; Neno: Maandiko Matakatifu Kisha utaenda katika njia yako salama, wala mguu wako hautajikwaa; BIBLIA KISWAHILI Ndipo utakapokwenda katika njia yako salama, Wala mguu wako hautakwaa. |
Miongoni mwao hakuna achokaye wala kukwaa; Hakuna asinziaye wala kulala usingizi; Wala mshipi wa viuno vyao hautalegea. Wala ukanda wa viatu vyao hautakatika;
Nami nitawatia nguvu katika BWANA; nao watatembea huku na huko katika jina lake, asema BWANA.