Methali 3:22 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Basi yatakuwa uzima kwa nafsi yako, Na neema shingoni mwako. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema navyo vitakuwa uhai nafsini mwako, na pambo zuri shingoni mwako. Biblia Habari Njema - BHND navyo vitakuwa uhai nafsini mwako, na pambo zuri shingoni mwako. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza navyo vitakuwa uhai nafsini mwako, na pambo zuri shingoni mwako. Neno: Bibilia Takatifu ndipo vitakapokuwa uzima nafsini mwako na pambo la neema shingoni mwako. Neno: Maandiko Matakatifu ndipo vitakapokuwa uzima nafsini mwako na pambo la neema shingoni mwako. BIBLIA KISWAHILI Basi yatakuwa uzima kwa nafsi yako, Na neema shingoni mwako. |
Ufahamu ni chemchemi ya uzima kwake aliye nao; Bali kufundishwa kwa wapumbavu ni upuzi wao.
Ee Bwana, kwa mambo hayo watu huishi; Na uhai wa roho yangu u katika hayo yote; Kwa hiyo uniponye na kunihuisha.
Kwa maana si jambo lisilofaa kwenu; maana, ni maisha yenu, na kwa jambo hili mtazifanya siku zenu kuwa nyingi juu ya nchi mwivukiayo Yordani kuimiliki.