Methali 3:19 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Kwa hekima BWANA aliiweka misingi ya nchi; Kwa akili zake akazifanya mbingu imara; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kwa hekima Mwenyezi-Mungu aliweka misingi ya dunia, kwa akili aliziimarisha mbingu. Biblia Habari Njema - BHND Kwa hekima Mwenyezi-Mungu aliweka misingi ya dunia, kwa akili aliziimarisha mbingu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kwa hekima Mwenyezi-Mungu aliweka misingi ya dunia, kwa akili aliziimarisha mbingu. Neno: Bibilia Takatifu Kwa hekima Mwenyezi Mungu aliiweka misingi ya dunia, kwa ufahamu aliziweka mbingu mahali pake; Neno: Maandiko Matakatifu Kwa hekima bwana aliiweka misingi ya dunia, kwa ufahamu aliziweka mbingu mahali pake; BIBLIA KISWAHILI Kwa hekima BWANA aliiweka misingi ya nchi; Kwa akili zake akazifanya mbingu imara; |
Ee BWANA, jinsi yalivyo mengi matendo yako! Kwa hekima umevifanya vyote pia. Dunia imejaa viumbe wako.
Ameiumba dunia kwa uweza wake, Ameuthibitisha ulimwengu kwa hekima yake, Na kwa ufahamu wake amezitandika mbingu.
Ameiumba dunia kwa uweza wake, Ameuthibitisha ulimwengu kwa hekima yake, Na kwa ufahamu wake amezitandika mbingu.