Methali 3:15 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Yeye ana thamani kuliko marijani, Wala vyote uvitamanivyo havilingani naye. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Hekima ina thamani kuliko johari, hamna unachotamani kiwezacho kulingana nayo. Biblia Habari Njema - BHND Hekima ina thamani kuliko johari, hamna unachotamani kiwezacho kulingana nayo. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Hekima ina thamani kuliko johari, hamna unachotamani kiwezacho kulingana nayo. Neno: Bibilia Takatifu Hekima ana thamani kuliko marijani; hakuna chochote unachokitamani kinachoweza kulinganishwa naye. Neno: Maandiko Matakatifu Hekima ana thamani kuliko marijani; hakuna chochote unachokitamani kinachoweza kulinganishwa naye. BIBLIA KISWAHILI Yeye ana thamani kuliko marijani, Wala vyote uvitamanivyo havilingani naye. |
Kwa maana nayahesabu mateso ya wakati huu wa sasa kuwa si kitu kama utukufu ule utakaofunuliwa kwetu.