Abramu akasema, Tazama, hukunipa uzao, na mtumwa aliyezaliwa nyumbani mwangu ndiye mrithi wangu.
Methali 29:21 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Amwendekezaye mtumwa wake tangu utoto, Mwisho wake atakuwa ni mwanawe. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Ambembelezaye mtumwa wake tangu utoto, mwishowe mtumwa huyo atamrithi. Biblia Habari Njema - BHND Ambembelezaye mtumwa wake tangu utoto, mwishowe mtumwa huyo atamrithi. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Ambembelezaye mtumwa wake tangu utoto, mwishowe mtumwa huyo atamrithi. Neno: Bibilia Takatifu Kama mtu akimdekeza mtumishi wake tangu ujanani, atamletea sikitiko mwishoni. Neno: Maandiko Matakatifu Kama mtu akimdekeza mtumishi wake tangu ujanani, atamletea sikitiko mwishoni. BIBLIA KISWAHILI Amwendekezaye mtumwa wake tangu utoto, Mwisho wake atakuwa ni mwanawe. |
Abramu akasema, Tazama, hukunipa uzao, na mtumwa aliyezaliwa nyumbani mwangu ndiye mrithi wangu.
Je! Umemwona mtu mwenye kuhamaki katika maneno? Afadhali kumtumaini mpumbavu kuliko yeye.
Yule wakili akasema moyoni mwake, Nifanyeje? Maana, bwana wangu ananiondolea uwakili. Kulima, siwezi; kuomba, naona haya.