Methali 29:19 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Haitoshi mtumwa kuonywa kwa maneno; Maana ajapoyafahamu hataitika. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mtumwa haonyeki kwa maneno matupu, maana ingawa anayaelewa yeye hatayatii. Biblia Habari Njema - BHND Mtumwa haonyeki kwa maneno matupu, maana ingawa anayaelewa yeye hatayatii. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mtumwa haonyeki kwa maneno matupu, maana ingawa anayaelewa yeye hatayatii. Neno: Bibilia Takatifu Mtumishi hawezi kuonywa kwa maneno matupu, hata akielewa, hataitikia. Neno: Maandiko Matakatifu Mtumishi hawezi kuonywa kwa maneno matupu, ajapoelewa, hataitikia. BIBLIA KISWAHILI Haitoshi mtumwa kuonywa kwa maneno; Maana ajapoyafahamu hataitika. |
Je! Umemwona mtu mwenye kuhamaki katika maneno? Afadhali kumtumaini mpumbavu kuliko yeye.