Methali 28:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Yeye aligeuzaye sikio lake asiisikie sheria, Hata sala yake ni chukizo. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Anayekataa kuisikia sheria, huyo hata sala yake ni chukizo kwa Mungu. Biblia Habari Njema - BHND Anayekataa kuisikia sheria, huyo hata sala yake ni chukizo kwa Mungu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Anayekataa kuisikia sheria, huyo hata sala yake ni chukizo kwa Mungu. Neno: Bibilia Takatifu Mtu yeyote akikataa kusikia sheria, hata maombi yake ni chukizo. Neno: Maandiko Matakatifu Kama mtu yeyote akikataa kusikia sheria, hata maombi yake ni chukizo. BIBLIA KISWAHILI Yeye aligeuzaye sikio lake asiisikie sheria, Hata sala yake ni chukizo. |
Je! Watawala waovu wanaweza kushirikiana nawe, Wale watungao madhara kwa njia ya sheria?
BWANA hataiacha nafsi ya mwenye haki ife na njaa; Bali tamaa ya mtu mwovu huisukumia mbali.
Wafungapo, mimi sitasikia kilio chao; na watoapo sadaka za kuteketezwa na sadaka ya unga, sitazitakabali; bali nitawaangamiza kwa upanga, na kwa njaa, na kwa tauni.
Tunajua ya kuwa Mungu hawasikii wenye dhambi; bali mtu akiwa ni mcha Mungu, na kuyafanya mapenzi yake, humsikia huyo.