Yeye aendaye kwa unyofu wake humcha BWANA; Bali aliye mkaidi katika njia zake humdharau.
Methali 28:6 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Afadhali maskini aendaye katika unyofu wake, Kuliko mpotovu wa njia angawa ni tajiri. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Afadhali maskini aishiye kwa unyofu, kuliko tajiri aishiye kwa upotovu. Biblia Habari Njema - BHND Afadhali maskini aishiye kwa unyofu, kuliko tajiri aishiye kwa upotovu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Afadhali maskini aishiye kwa unyofu, kuliko tajiri aishiye kwa upotovu. Neno: Bibilia Takatifu Afadhali maskini ambaye mwenendo wake hauna lawama, kuliko tajiri ambaye njia zake ni potovu. Neno: Maandiko Matakatifu Afadhali maskini ambaye mwenendo wake hauna lawama kuliko tajiri ambaye njia zake ni potovu. BIBLIA KISWAHILI Afadhali maskini aendaye katika unyofu wake, Kuliko mpotovu wa njia ingawa ni tajiri. |
Yeye aendaye kwa unyofu wake humcha BWANA; Bali aliye mkaidi katika njia zake humdharau.