Tena hapo mtakapokwenda kupiga vita katika nchi yenu, kupigana na adui awaoneaye ninyi, ndipo mtakapopiga sauti ya kugutusha kwa tarumbeta; nanyi mtakumbukwa mbele za BWANA, Mungu wenu, nanyi mtaokolewa na adui zenu.
Methali 28:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Mtu mhitaji awaoneaye maskini, Ni kama mvua ya dhoruba isiyosaza chakula. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mtu mhitaji anayewadhulumu maskini, amefanana na mvua kubwa inayoharibu mimea. Biblia Habari Njema - BHND Mtu mhitaji anayewadhulumu maskini, amefanana na mvua kubwa inayoharibu mimea. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mtu mhitaji anayewadhulumu maskini, amefanana na mvua kubwa inayoharibu mimea. Neno: Bibilia Takatifu Mtawala anayewadhulumu maskini, ni kama mvua ya dhoruba inayoharibu mazao yote. Neno: Maandiko Matakatifu Mtu maskini amwoneaye yeye aliye maskini zaidi ni kama mvua ya dhoruba isiyosaza mazao. BIBLIA KISWAHILI Mtu mhitaji awaoneaye maskini, Ni kama mvua ya dhoruba isiyosaza chakula. |