Methali 28:11 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Mtu tajiri ana hekima machoni pake mwenyewe; Bali maskini mwenye ufahamu humchunguza sana. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Tajiri hujiona mwenyewe kuwa mwenye hekima, lakini maskini mwenye busara atamfichua. Biblia Habari Njema - BHND Tajiri hujiona mwenyewe kuwa mwenye hekima, lakini maskini mwenye busara atamfichua. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Tajiri hujiona mwenyewe kuwa mwenye hekima, lakini maskini mwenye busara atamfichua. Neno: Bibilia Takatifu Mtu tajiri anaweza kuwa na hekima machoni pake mwenyewe, bali mtu maskini mwenye busara humtambua alivyodanganyika. Neno: Maandiko Matakatifu Mtu tajiri anaweza kuwa na hekima machoni pake mwenyewe, bali mtu maskini mwenye ufahamu atamfichua. BIBLIA KISWAHILI Mtu tajiri ana hekima machoni pake mwenyewe; Bali maskini mwenye ufahamu humchunguza sana. |
Je! Wamwona mtu mwenye hekima machoni pake mwenyewe? Afadhali kumtumaini mpumbavu kuliko yeye.
Ole wao walio na hekima katika macho yao wenyewe, na wenye busara katika fikira zao wenyewe!
Kwa maana, ndugu zangu, sipendi msiijue siri hii, ili msijione kuwa wenye akili; ya kwamba kwa sehemu ugumu umewapata Israeli, mpaka utimilifu wa Mataifa uwasili.
Mpatane nia zenu ninyi kwa ninyi. Msinuie yaliyo makuu, lakini mkubali kushughulishwa na mambo manyonge. Msiwe watu wa kujivunia akili.
Walio matajiri wa ulimwengu wa sasa uwaagize wasijivune, wala wasiutumainie utajiri usio yakini, bali wamtumaini Mungu atupaye vitu vyote kwa wingi ili tuvitumie kwa furaha.