Methali 27:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Lawama ya wazi ni heri, Kuliko upendo uliositirika. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Afadhali mtu anayekuonya waziwazi, kuliko yule afichaye upendo. Biblia Habari Njema - BHND Afadhali mtu anayekuonya waziwazi, kuliko yule afichaye upendo. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Afadhali mtu anayekuonya waziwazi, kuliko yule afichaye upendo. Neno: Bibilia Takatifu Afadhali karipio la wazi kuliko upendo uliofichika. Neno: Maandiko Matakatifu Afadhali karipio la wazi kuliko upendo uliofichika. BIBLIA KISWAHILI Lawama ya wazi ni heri, Kuliko upendo uliositirika. |
Usimchukie ndugu yako moyoni mwako; ni lazima kumkemea jirani yako, au ulipizwe uovu kwa ajili yake
Na ndugu yako akikukosea, nenda ukamwonye, wewe na yeye peke yenu; akikusikia, umempata nduguyo.
Lakini, nilipoona ya kuwa njia yao haiendi sawasawa na ile kweli ya Injili, nilimwambia Kefa mbele ya wote, Ikiwa wewe uliye Myahudi wafuata desturi za Mataifa, wala si za Wayahudi, kwa nini unawashurutisha Mataifa kufuata desturi za Wayahudi?