Methali 27:26 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Wana-kondoo hufaa kwa mavazi yako; Na mbuzi ni thamani ya shamba. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kondoo watakupatia sufu kwa mavazi, mbuzi nao utauza na kujinunulia mashamba; Biblia Habari Njema - BHND Kondoo watakupatia sufu kwa mavazi, mbuzi nao utauza na kujinunulia mashamba; Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kondoo watakupatia sufu kwa mavazi, mbuzi nao utauza na kujinunulia mashamba; Neno: Bibilia Takatifu wana-kondoo watakupatia mavazi na mbuzi thamani ya shamba. Neno: Maandiko Matakatifu wana-kondoo watakupatia mavazi na mbuzi thamani ya shamba. BIBLIA KISWAHILI Wana-kondoo hufaa kwa mavazi yako; Na mbuzi ni thamani ya shamba. |
Tena yatakuwapo maziwa ya mbuzi, Ya kukutosha kwa chakula chako, Na chakula cha watu wa nyumbani mwako, Na posho la vijakazi vyako.
Arabuni, na wakuu wote wa Kedari, ndio waliokuwa wafanya biashara wa mkono wako; kwa wana-kondoo, na kondoo dume, na mbuzi; kwa hao walifanya biashara nawe.