Methali 27:17 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Chuma hunoa chuma; Ndivyo mtu aunoavyo uso wa rafiki yake. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Chuma hunoa chuma, kadhalika mtu hufundishwa na wenzake. Biblia Habari Njema - BHND Chuma hunoa chuma, kadhalika mtu hufundishwa na wenzake. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Chuma hunoa chuma, kadhalika mtu hufundishwa na wenzake. Neno: Bibilia Takatifu Kama vile chuma kinoavyo chuma, ndivyo mtu amnoavyo mwenzake. Neno: Maandiko Matakatifu Kama vile chuma kinoavyo chuma, ndivyo mtu amnoavyo mwenzake. BIBLIA KISWAHILI Chuma hunoa chuma; Ndivyo mtu aunoavyo uso wa rafiki yake. |
Marhamu na manukato huufurahisha moyo; Kadhalika utamu wa rafiki ya mtu utokao katika kusudi la moyo wake.
Kwa sababu hiyo nimepatikana na mateso haya, lakini sitahayari; kwa maana namjua yeye niliyemwamini, na kusadiki ya kwamba aweza kukilinda kile nilichokiweka amana kwake hata siku ile.
Basi usiuonee haya ushuhuda wa Bwana wetu, wala usinionee haya mimi mfungwa wake, bali uvumilie mabaya pamoja nami kwa ajili ya Injili, kwa uweza wa Mungu;
Kila mtu atakayeiasi amri yako, asiyasikilize maneno yako katika mambo yote utakayomwamuru, atauawa. Uwe hodari na moyo wa ushujaa, hilo tu.
Wakamwambia Yoshua, Hakika BWANA ameitia nchi yote katika mikono yetu; tena zaidi ya hayo wenyeji wa nchi wanayeyuka mbele yetu.
Ndipo Yonathani, mwana wa Sauli, akainuka akamwendea Daudi huko Horeshi, akamtia nguvu mkono wake katika Mungu.