Naye akamwambia maneno yayo hayo, akisema, Yule mtumwa Mwebrania uliyemleta kwetu, aliingia kwangu anidhihaki.
Methali 26:28 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Ulimi unenao uongo huwachukia wale uliowajeruhi; Na kinywa cha kujipendekeza hutenda uharibifu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Asemaye uongo huwachukia hao anaowaumiza, naye abembelezaye huleta maangamizi. Biblia Habari Njema - BHND Asemaye uongo huwachukia hao anaowaumiza, naye abembelezaye huleta maangamizi. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Asemaye uongo huwachukia hao anaowaumiza, naye abembelezaye huleta maangamizi. Neno: Bibilia Takatifu Ulimi wa uongo huwachukia wale unaowaumiza, nacho kinywa cha kujipendekeza husababisha uharibifu. Neno: Maandiko Matakatifu Ulimi wa uongo, huwachukia wale unaowaumiza, nacho kinywa cha kujipendekeza hutenda uharibifu. BIBLIA KISWAHILI Ulimi unenao uongo huwachukia wale uliowajeruhi; Na kinywa cha kujipendekeza hutenda uharibifu. |
Naye akamwambia maneno yayo hayo, akisema, Yule mtumwa Mwebrania uliyemleta kwetu, aliingia kwangu anidhihaki.
Lakini sasa mnatafuta kuniua mimi, mtu ambaye nimewaambia iliyo kweli, niliyoisikia kwa Mungu. Abrahamu hakufanya hivyo.