Na Sedekia mwana wa Kenaana akajifanyia pembe za chuma, akasema, BWANA asema hivi, Kwa hizo utawasukuma Washami, hata waharibike.
Methali 25:14 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Kama mawingu na upepo pasipo mvua; Ndivyo alivyo yeye ajisifiaye karama kwa uongo. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kama vile mawingu na upepo bila mvua, ndivyo alivyo mtu anayejigamba kutoa zawadi asiitoe. Biblia Habari Njema - BHND Kama vile mawingu na upepo bila mvua, ndivyo alivyo mtu anayejigamba kutoa zawadi asiitoe. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kama vile mawingu na upepo bila mvua, ndivyo alivyo mtu anayejigamba kutoa zawadi asiitoe. Neno: Bibilia Takatifu Kama vile mawingu na upepo pasipo mvua ndivyo alivyo mtu ajisifuye kwa zawadi ambazo hatoi. Neno: Maandiko Matakatifu Kama vile mawingu na upepo pasipo mvua ndivyo alivyo mtu ajisifuye kwa zawadi ambazo hatoi. BIBLIA KISWAHILI Kama mawingu na upepo pasipo mvua; Ndivyo alivyo yeye ajisifiaye karama kwa uongo. |
Na Sedekia mwana wa Kenaana akajifanyia pembe za chuma, akasema, BWANA asema hivi, Kwa hizo utawasukuma Washami, hata waharibike.
Wanadamu hutangaza kila mtu hisani yake mwenyewe; Bali mtu aliye mwaminifu, ni nani awezaye kumpata?
na manabii watakuwa upepo, wala neno lake halimo ndani yao; basi ndivyo watakavyotendwa.
Mtu akienda kwa roho ya uongo, akinena maneno ya uongo, akisema, Nitakutabiria habari ya mvinyo na kileo; mtu huyu atakuwa nabii wao watu hawa.
Watu hawa ni wenye kunung'unika, wenye kulalamika, waendao kwa tamaa zao, na vinywa vyao vyanena maneno makuu mno ya kiburi, wakipendelea watu wenye cheo kwa ajili ya faida.