Methali 25:10 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Yeye asikiaye asije akakutukana; Na aibu yako isiondoke. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema watu wasije wakajua kuna siri, ukajiharibia jina lako daima. Biblia Habari Njema - BHND watu wasije wakajua kuna siri, ukajiharibia jina lako daima. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza watu wasije wakajua kuna siri, ukajiharibia jina lako daima. Neno: Bibilia Takatifu ama yeye aisikiaye aweza kukuaibisha, na kamwe sifa yako mbaya haitaondoka. Neno: Maandiko Matakatifu ama yeye aisikiaye aweza kukuaibisha na kamwe sifa yako mbaya haitaondoka. BIBLIA KISWAHILI Yeye asikiaye asije akakutukana; Na aibu yako isiondoke. |