Methali 24:26 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Aibusu midomo atoaye jawabu la haki. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Jibu lililo la haki, ni kama busu la rafiki. Biblia Habari Njema - BHND Jibu lililo la haki, ni kama busu la rafiki. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Jibu lililo la haki, ni kama busu la rafiki. Neno: Bibilia Takatifu Jawabu la uaminifu ni kama busu la mdomoni. Neno: Maandiko Matakatifu Jawabu la uaminifu ni kama busu la midomoni. BIBLIA KISWAHILI Aibusu midomo atoaye jawabu la haki. |
Mtu hulifurahia jibu la kinywa chake; Na neno linenwalo wakati wa kufaa ni jema kama nini!
Tengeneza kazi yako huko nje, Jifanyizie kazi yako tayari shambani, Ukiisha, jenga nyumba yako.