Ndipo wageni wote waliokuwa pamoja na Adonia wakaogopa, wakaondoka, wakaenda zao kila mtu njia yake.
Methali 24:22 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Maana msiba wao utatokea kwa ghafla; Tena ni nani aujuaye uharibifu wa miaka yao. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema maana maangamizi yao huwapata ghafla. Hakuna ajuaye maafa watakayozusha. Biblia Habari Njema - BHND maana maangamizi yao huwapata ghafla. Hakuna ajuaye maafa watakayozusha. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza maana maangamizi yao huwapata ghafla. Hakuna ajuaye maafa watakayozusha. Neno: Bibilia Takatifu kwa maana hao wawili watatuma maangamizi ya ghafula juu yao, naye ni nani ajuaye maafa wawezayo kuleta? Neno: Maandiko Matakatifu kwa maana hao wawili watatuma maangamizi ya ghafula juu yao, naye ni nani ajuaye maafa wawezayo kuleta? BIBLIA KISWAHILI Maana msiba wao utatokea kwa ghafla; Tena ni nani aujuaye uharibifu wa miaka yao. |
Ndipo wageni wote waliokuwa pamoja na Adonia wakaogopa, wakaondoka, wakaenda zao kila mtu njia yake.
Kwa maana mwenye haki huanguka mara saba akaondoka tena; Bali wasio haki hukwazwa na mabaya.
Maana mwanadamu naye hajui wakati wake; kama samaki wanaokamatwa katika nyavu mbaya, na mfano wa ndege wanaonaswa mtegoni, kadhalika wanadamu hunaswa katika wakati mbaya, unapowaangukia kwa ghafla.