Heri mtu yule asiyekwenda Katika shauri la wasio haki; Wala hakusimama katika njia ya wenye dhambi; Wala hakuketi barazani pa wenye mizaha.
Methali 24:19 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Usikasirike kwa sababu ya watenda mabaya; Wala usiwahusudu wabaya; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Usihangaike kwa sababu ya watenda mabaya, wala usiwaonee wivu watu waovu, Biblia Habari Njema - BHND Usihangaike kwa sababu ya watenda mabaya, wala usiwaonee wivu watu waovu, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Usihangaike kwa sababu ya watenda mabaya, wala usiwaonee wivu watu waovu, Neno: Bibilia Takatifu Usikasirike kwa sababu ya wapotovu, wala usiwaonee wivu waovu, Neno: Maandiko Matakatifu Usikasirike kwa sababu ya watu wabaya wala usiwaonee wivu waovu, BIBLIA KISWAHILI Usikasirike kwa sababu ya watenda mabaya; Wala usiwahusudu wabaya; |
Heri mtu yule asiyekwenda Katika shauri la wasio haki; Wala hakusimama katika njia ya wenye dhambi; Wala hakuketi barazani pa wenye mizaha.
Akasema na mkutano, na kuwaambia, Nawasihi, ondokeni penye hema za hawa watu waovu, wala msiguse kitu chao chochote, msiangamizwe katika dhambi zao zote.
Kwa hiyo, Tokeni kati yao, Mkatengwe nao, asema Bwana, Msiguse kitu kilicho kichafu, Nami nitawakaribisha.
Kisha nikasikia sauti nyingine kutoka mbinguni, ikisema, Tokeni kwake, enyi watu wangu, msishiriki dhambi zake, wala msipokee mapigo yake.