Akawa akizidi kusema na Yusufu siku baada ya siku, lakini hakumsikia alale naye, wala kuwa naye.
Methali 23:28 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Naam, huotea kama mnyang'anyi; Huwaongeza wenye hila katika wanadamu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Yeye hunyemelea kama mnyanganyi, husababisha wanaume wengi kukosa uaminifu. Biblia Habari Njema - BHND Yeye hunyemelea kama mnyanganyi, husababisha wanaume wengi kukosa uaminifu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Yeye hunyemelea kama mnyang'anyi, husababisha wanaume wengi kukosa uaminifu. Neno: Bibilia Takatifu Kama mnyang’anyi, hungojea akivizia, naye huzidisha wasio waaminifu miongoni mwa wanaume. Neno: Maandiko Matakatifu Kama mnyang’anyi, hungojea akivizia, naye huzidisha wasio waaminifu miongoni mwa wanaume. BIBLIA KISWAHILI Naam, huotea kama mnyang'anyi; Huwaongeza wenye hila katika wanadamu. |
Akawa akizidi kusema na Yusufu siku baada ya siku, lakini hakumsikia alale naye, wala kuwa naye.
Maana kwa malaya mtu hutiwa katika hali ya kuhitaji kipande cha mkate; Na kahaba humwinda mtu anase nafsi yake iliyo ya thamani
Nami nimeona lililo na uchungu kupita mauti; yaani, mwanamke ambaye moyo wake ni mitego na tanzi, na mikono yake ni kama vifungo; yeye ampendezaye Mungu atamponyoka, bali mwenye dhambi atanaswa na yeye.
Inua macho yako, ukavitazame vilele vya milima, ukaone; pako wapi mahali ambapo hawakulala nawe? Kando ya njia umeketi ili kuwangojea, kama vile Mwarabu jangwani; nawe umeitia nchi unajisi kwa ukahaba wako na uovu wako.
Wala msifanye uasherati, kama wengine wao walivyofanya, wakaanguka siku moja watu elfu ishirini na tatu.