Methali 23:14 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Utampiga kwa fimbo, Na kumwokoa nafsi yake na Kuzimu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Ukimtandika kiboko, utayaokoa maisha yake na kuzimu. Biblia Habari Njema - BHND Ukimtandika kiboko, utayaokoa maisha yake na kuzimu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Ukimtandika kiboko, utayaokoa maisha yake na kuzimu. Neno: Bibilia Takatifu Mwadhibu kwa fimbo na kuiokoa nafsi yake kutoka mautini. Neno: Maandiko Matakatifu Mwadhibu kwa fimbo na kuiokoa nafsi yake kutoka mautini BIBLIA KISWAHILI Utampiga kwa fimbo, Na kumwokoa nafsi yake na Kuzimu. |
kumtolea Shetani mtu huyo, ili mwili uadhibiwe, ili na roho iokolewe katika siku ya Bwana Yesu.