Methali 22:28 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Usiiondoe alama ya mpaka wa zamani, Uliowekwa na baba zako. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Usiondoe alama ya mipaka ya zamani ambayo iliwekwa na wazee wako. Biblia Habari Njema - BHND Usiondoe alama ya mipaka ya zamani ambayo iliwekwa na wazee wako. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Usiondoe alama ya mipaka ya zamani ambayo iliwekwa na wazee wako. Neno: Bibilia Takatifu Usisogeze jiwe la mpaka wa zamani lililowekwa na baba zako. Neno: Maandiko Matakatifu Usisogeze jiwe la mpaka wa zamani lililowekwa na baba zako. BIBLIA KISWAHILI Usiiondoe alama ya mpaka wa zamani, Uliowekwa na baba zako. |
Ewe mtu mbaya, usiyavizie makao yake mwenye haki; Wala usipaharibu mahali pake pa kupumzika;
Usiiondoe alama ya mpaka wa jirani yako, waliouweka watu wa kale katika urithi wako, utakaorithi ndani ya nchi akupayo BWANA, Mungu wako, uimiliki.