Methali 21:23 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Mtu azuiaye kinywa chake na ulimi wake, Atajilinda nafsi yake na taabu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Achungaye mdomo wake na ulimi wake, hujiepusha na matatizo. Biblia Habari Njema - BHND Achungaye mdomo wake na ulimi wake, hujiepusha na matatizo. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Achungaye mdomo wake na ulimi wake, hujiepusha na matatizo. Neno: Bibilia Takatifu Yeye alindaye kinywa chake na ulimi wake hujilinda na maafa. Neno: Maandiko Matakatifu Yeye alindaye kinywa chake na ulimi wake hujilinda na maafa. BIBLIA KISWAHILI Mtu azuiaye kinywa chake na ulimi wake, Atajilinda nafsi yake na taabu. |
Katika wingi wa maneno hapakosi kuwa na maovu; Bali yeye azuiaye midomo yake hufanya akili.
Yeye alindaye kinywa chake huilinda nafsi yake; Bali afunuaye midomo yake atapata uharibifu.
Njia kuu ya mwenye haki ni kujitenga na uovu; Yeye ashikaye njia yake huihifadhi nafsi yake.
Mtu akidhani ya kuwa anayo dini, wala hauzuii ulimi wake kwa hatamu, ili hali akijidanganya moyo wake, dini yake mtu huyo haifai.