Methali 21:19 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Ni afadhali kukaa katika nchi ya nyika; Kuliko na mwanamke mgomvi, mchokozi. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Afadhali kuishi jangwani, kuliko kukaa na mwanamke mgomvi na msumbufu. Biblia Habari Njema - BHND Afadhali kuishi jangwani, kuliko kukaa na mwanamke mgomvi na msumbufu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Afadhali kuishi jangwani, kuliko kukaa na mwanamke mgomvi na msumbufu. Neno: Bibilia Takatifu Ni afadhali kuishi jangwani kuliko kuishi na mke mgomvi na mkorofi. Neno: Maandiko Matakatifu Ni afadhali kuishi jangwani kuliko kuishi na mke mgomvi na mkorofi. BIBLIA KISWAHILI Ni afadhali kukaa katika nchi ya nyika; Kuliko na mwanamke mgomvi, mchokozi. |
Ni afadhali kukaa katika pembe ya darini, Kuliko katika nyumba pana pamoja na mwanamke mgomvi.
Laiti ningekuwa na mahali pa kukaa jangwani, kibanda cha wasafiri; nipate kuwaacha watu wangu, na kuondoka kwao! Maana wao ni wazinzi, wote pia, mkutano wa watu wenye hiana.