Methali 20:23 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Vipimo mbalimbali ni chukizo kwa BWANA; Tena mizani ya hila si njema. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mizani ya udanganyifu ni chukizo kwa Mwenyezi-Mungu, na vipimo visivyo halali ni kitu kibaya. Biblia Habari Njema - BHND Mizani ya udanganyifu ni chukizo kwa Mwenyezi-Mungu, na vipimo visivyo halali ni kitu kibaya. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mizani ya udanganyifu ni chukizo kwa Mwenyezi-Mungu, na vipimo visivyo halali ni kitu kibaya. Neno: Bibilia Takatifu Mwenyezi Mungu anachukia sana mawe ya kupimia ya udanganyifu, nazo mizani zisizo halali hazimpendezi. Neno: Maandiko Matakatifu bwana anachukia sana mawe ya kupimia ya udanganyifu, nazo mizani zisizo halali hazimpendezi. BIBLIA KISWAHILI Vipimo mbalimbali ni chukizo kwa BWANA; Tena mizani ya hila si njema. |
mkisema, Mwezi mpya utaondoka lini, tupate kuuza nafaka? Na sabato nayo, tupate kuandaa ngano? Mkiipunguza efa na kuiongeza shekeli, mkidanganya watu kwa mizani ya udanganyifu;