Mtu hulifurahia jibu la kinywa chake; Na neno linenwalo wakati wa kufaa ni jema kama nini!
Methali 20:15 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Dhahabu iko, na marijani tele; Lakini midomo ya maarifa ni kito cha thamani. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kuna dhahabu na wingi wa mawe ya thamani kubwa; lakini cha thamani kubwa zaidi ni maneno ya busara! Biblia Habari Njema - BHND Kuna dhahabu na wingi wa mawe ya thamani kubwa; lakini cha thamani kubwa zaidi ni maneno ya busara! Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kuna dhahabu na wingi wa mawe ya thamani kubwa; lakini cha thamani kubwa zaidi ni maneno ya busara! Neno: Bibilia Takatifu Kuna dhahabu, na marijani kwa wingi, lakini midomo inayonena maarifa ni kito cha thamani. Neno: Maandiko Matakatifu Dhahabu kunayo, na marijani kwa wingi, lakini midomo inenayo maarifa ni kito cha thamani kilicho adimu. BIBLIA KISWAHILI Dhahabu iko, na marijani tele; Lakini midomo ya maarifa ni kito cha thamani. |
Mtu hulifurahia jibu la kinywa chake; Na neno linenwalo wakati wa kufaa ni jema kama nini!
Kipuli cha dhahabu, na pambo la dhahabu safi; Ndivyo alivyo mwonyaji mwenye hekima kwa sikio lisikialo.
Neno lolote lililo ovu lisitoke vinywani mwenu, bali lililo jema la kumfaa mwenye kuhitaji, ili liwape neema wanaosikia.