Methali 2:20 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Ili upate kwenda katika njia ya watu wema, Na kuyashika mapito ya wenye haki. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kwa hiyo utafuata mfano wa watu wema, na kuzingatia mienendo ya waadilifu. Biblia Habari Njema - BHND Kwa hiyo utafuata mfano wa watu wema, na kuzingatia mienendo ya waadilifu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kwa hiyo utafuata mfano wa watu wema, na kuzingatia mienendo ya waadilifu. Neno: Bibilia Takatifu Hivyo utatembea katika njia za watu wema na kushikamana na mapito ya wenye haki. Neno: Maandiko Matakatifu Hivyo utatembea katika njia za watu wema na kushikamana na mapito ya wenye haki. BIBLIA KISWAHILI Ili upate kwenda katika njia ya watu wema, Na kuyashika mapito ya wenye haki. |
BWANA asema hivi, Simameni katika njia kuu, mkaone, mkaulize habari za mapito ya zamani, Iko wapi njia iliyo njema? Mkaende katika njia hiyo, nanyi mtajipatia raha katika nafsi zenu. Lakini walisema, Hatutaki kwenda katika njia hiyo.
Mpenzi, usiuige ubaya, bali uige wema. Yeye atendaye mema ni wa Mungu, bali yeye atendaye mabaya hakumwona Mungu.