Kwa hiyo mwanamume atamwacha baba yake na mama yake naye ataambatana na mkewe, nao watakuwa mwili mmoja.
Methali 2:17 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Amwachaye rafiki wa ujana wake, Na kulisahau agano la Mungu wake. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema mwanamke amwachaye mwenzi wa ujana wake, na kulisahau agano la Mungu wake. Biblia Habari Njema - BHND mwanamke amwachaye mwenzi wa ujana wake, na kulisahau agano la Mungu wake. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza mwanamke amwachaye mwenzi wa ujana wake, na kulisahau agano la Mungu wake. Neno: Bibilia Takatifu aliyemwacha mwenzi wa ujana wake na kupuuza agano alilofanya mbele ya Mungu. Neno: Maandiko Matakatifu aliyemwacha mwenzi wa ujana wake na kupuuza agano alilofanya mbele ya Mungu. BIBLIA KISWAHILI Amwachaye rafiki wa ujana wake, Na kulisahau agano la Mungu wake. |
Kwa hiyo mwanamume atamwacha baba yake na mama yake naye ataambatana na mkewe, nao watakuwa mwili mmoja.
Basi, nilipopita karibu nawe, nikakutazama; tazama, wakati wako ulikuwa wakati wa upendo; nikatandika upindo wa vazi langu juu yako, nikakufunika uchi wako; naam, nilikuapia, nikafanya agano nawe, asema Bwana MUNGU, ukawa wangu.