Methali 19:18 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Mrudi mwanao, kwa maana liko tumaini; Wala usiikaze nafsi yako kwa kuangamia kwake. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mrudi mwanao kungali bado na tumaini, lakini usimwadhibu kiasi cha kumwangamiza. Biblia Habari Njema - BHND Mrudi mwanao kungali bado na tumaini, lakini usimwadhibu kiasi cha kumwangamiza. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mrudi mwanao kungali bado na tumaini, lakini usimwadhibu kiasi cha kumwangamiza. Neno: Bibilia Takatifu Mkanye mwanao, kwa maana kufanya hivyo kuna tumaini, usiwe mshirika katika mauti yake. Neno: Maandiko Matakatifu Mrudi mwanao, kwa maana katika hiyo kuna tumaini, usiwe mshirika katika mauti yake. BIBLIA KISWAHILI Mrudi mwanao, kwa maana liko tumaini; Wala usiikaze nafsi yako kwa kuangamia kwake. |
Mtu akiwa na mwana mkaidi, mshupavu, asiyetii sauti ya baba yake, wala sauti ya mama yake, nao wajapomwadhibu hawasikizi,