Methali 18:20 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Tumbo la mtu litajazwa matunda ya kinywa chake; Atashiba mazao ya midomo yake. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Maneno ya mtu yaweza kumshibisha; hutosheka kwa matokeo ya maneno yake. Biblia Habari Njema - BHND Maneno ya mtu yaweza kumshibisha; hutosheka kwa matokeo ya maneno yake. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Maneno ya mtu yaweza kumshibisha; hutosheka kwa matokeo ya maneno yake. Neno: Bibilia Takatifu Tumbo la mtu litajaa kutokana na tunda la kinywa chake, atashibishwa mavuno yanayotokana na midomo yake. Neno: Maandiko Matakatifu Tumbo la mtu litajaa kutokana na tunda la kinywa chake, atashibishwa mavuno yanayotokana na midomo yake. BIBLIA KISWAHILI Tumbo la mtu litajazwa matunda ya kinywa chake; Atashiba mazao ya midomo yake. |
Ndugu aliyechukizwa ni mgumu kuliko mji wa nguvu; Na mashindano ni kama mapingo ya ngome.