Methali 18:13 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Yeye ajibuye kabla hajasikia, Ni upumbavu na aibu kwake. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kujibu kabla ya kusikiliza ni upumbavu na jambo la aibu. Biblia Habari Njema - BHND Kujibu kabla ya kusikiliza ni upumbavu na jambo la aibu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kujibu kabla ya kusikiliza ni upumbavu na jambo la aibu. Neno: Bibilia Takatifu Yeye ajibuye kabla ya kusikiliza, huo ni upumbavu wake na aibu yake. Neno: Maandiko Matakatifu Yeye ajibuye kabla ya kusikiliza, huo ni upumbavu wake na aibu yake. BIBLIA KISWAHILI Yeye ajibuye kabla hajasikia, Ni upumbavu na aibu kwake. |
Ndipo mfalme akamwambia Siba, Tazama, yote yaliyokuwa ni mali ya Mefiboshethi ni yako. Siba akasema, Mimi ninasujudu; na nione kibali machoni pako, Ee bwana wangu, mfalme.
Ni mtego, mtu aseme kwa haraka, Kitu hiki ni wakfu; Na baada ya kuweka nadhiri kuulizauliza habari.
Basi mfalme aliposikia maneno haya alikasirika sana, akakaza moyo wake ili kumponya Danieli; akajitaabisha kumwokoa hata jua likachwa.
ndipo nawe uulize na kutafuta, ukiuliza kwa bidii; nawe angalia, ikiwa kweli, na jambo lile halina shaka, kwamba machukizo mfano wa haya yafanyika katikati yako;