Esau alipokuwa mwenye miaka arubaini, akamwoa Yudithi, binti Beeri, Mhiti, na Basemathi, binti Eloni, Mhiti.
Methali 17:21 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Azaaye mpumbavu ni kwa huzuni yake mwenyewe; Wala baba wa mpumbavu hana furaha. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mtoto mpumbavu ni huzuni kwa baba yake, na baba wa mpumbavu hana furaha. Biblia Habari Njema - BHND Mtoto mpumbavu ni huzuni kwa baba yake, na baba wa mpumbavu hana furaha. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mtoto mpumbavu ni huzuni kwa baba yake, na baba wa mpumbavu hana furaha. Neno: Bibilia Takatifu Kuwa na mwana mpumbavu huleta huzuni; hakuna furaha kwa baba wa mpumbavu. Neno: Maandiko Matakatifu Kuwa na mwana mpumbavu huleta huzuni; hakuna furaha kwa baba wa mpumbavu. BIBLIA KISWAHILI Azaaye mpumbavu ni kwa huzuni yake mwenyewe; Wala baba wa mpumbavu hana furaha. |
Esau alipokuwa mwenye miaka arubaini, akamwoa Yudithi, binti Beeri, Mhiti, na Basemathi, binti Eloni, Mhiti.
Naye mfalme akataabika sana, akapanda juu, akaingia kile chumba kilichokuwa juu ya lango, akalia; na katika kwenda kwake alisema hivi, Mwanangu Absalomu! Ee mwanangu! Mwanangu Absalomu! Laiti ningalikufa badala yako, Absalomu, mwanangu, mwanangu!
Nami niliwaandikia neno lilo hilo, ili nijapo nisitiwe huzuni na wale ambao ilinipasa kuwafurahia; nikiwatumaini ninyi nyote kwamba furaha yangu ni yenu nyote pia.
Sina furaha iliyo kuu kuliko hii, kusikia ya kwamba watoto wangu wanakwenda katika kweli.
Ila wanawe hawakuenda katika njia zake, bali waliziacha, ili wapate faida; wakapokea rushwa, na kupotosha hukumu.