Njia ya mpumbavu imenyoka machoni pake mwenyewe; Bali yeye aliye na hekima husikiliza shauri.
Methali 16:25 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Iko njia ionekanayo kuwa sawa machoni pa mtu; Lakini mwisho wake ni njia za mauti. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mtu aweza kuona njia yake kuwa sawa, lakini mwishowe humwongoza kwenye kifo. Biblia Habari Njema - BHND Mtu aweza kuona njia yake kuwa sawa, lakini mwishowe humwongoza kwenye kifo. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mtu aweza kuona njia yake kuwa sawa, lakini mwishowe humwongoza kwenye kifo. Neno: Bibilia Takatifu Iko njia ionekanayo kuwa sawa kwa mtu, bali mwisho wake huelekeza mautini. Neno: Maandiko Matakatifu Iko njia ionekanayo kuwa sawa kwa mtu, bali mwisho wake huelekeza mautini. BIBLIA KISWAHILI Iko njia ionekanayo kuwa sawa machoni pa mtu; Lakini mwisho wake ni njia za mauti. |
Njia ya mpumbavu imenyoka machoni pake mwenyewe; Bali yeye aliye na hekima husikiliza shauri.
Baadhi ya Mafarisayo waliokuwapo pamoja naye wakasikia hayo, wakamwambia, Je! Sisi nasi tu vipofu?
Kweli, mimi mwenyewe niliona ndani ya nafsi yangu kwamba yanipasa kutenda mambo mengi yaliyopingana na jina lake Yesu Mnazareti;
Jichunguzeni wenyewe muone kama mmekuwa katika imani; jithibitisheni wenyewe. Au hamjijui wenyewe, kwamba Yesu Kristo yu ndani yenu? Isipokuwa iwe mmekataliwa.