Kwa maana BWANA aliinamisha Yuda kwa ajili ya Ahazi mfalme wa Israeli; kwa kuwa yeye aliwafanyia Yuda aibu, na kumwasi BWANA mno.
Methali 14:34 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Haki huinua taifa; Bali dhambi ni aibu ya watu wowote. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Uadilifu hukuza taifa, lakini dhambi ni balaa kwa taifa lolote. Biblia Habari Njema - BHND Uadilifu hukuza taifa, lakini dhambi ni balaa kwa taifa lolote. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Uadilifu hukuza taifa, lakini dhambi ni balaa kwa taifa lolote. Neno: Bibilia Takatifu Haki huinua taifa, bali dhambi ni aibu kwa watu wote. Neno: Maandiko Matakatifu Haki huinua taifa, bali dhambi ni aibu kwa watu wote. BIBLIA KISWAHILI Haki huinua taifa; Bali dhambi ni aibu ya watu wowote. |
Kwa maana BWANA aliinamisha Yuda kwa ajili ya Ahazi mfalme wa Israeli; kwa kuwa yeye aliwafanyia Yuda aibu, na kumwasi BWANA mno.
Hekima hukaa katika moyo wake mwenye ufahamu; Bali yaliyo ndani ya wapumbavu hudhihirika.
Upendeleo wa mfalme humwelekea mtumwa atendaye kwa busara; Bali hasira yake itakuwa juu yake aletaye aibu.
Efraimu aliponena, palikuwa na tetemeko; alijitukuza katika Israeli; Lakini alipokosa katika Baali, alikufa.