Methali 14:27 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Kumcha BWANA ni chemchemi ya uzima, Ili kuepukana na tanzi za mauti. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kumcha Mwenyezi-Mungu ni chemchemi ya uhai; humwezesha mtu kuepa mitego ya kifo. Biblia Habari Njema - BHND Kumcha Mwenyezi-Mungu ni chemchemi ya uhai; humwezesha mtu kuepa mitego ya kifo. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kumcha Mwenyezi-Mungu ni chemchemi ya uhai; humwezesha mtu kuepa mitego ya kifo. Neno: Bibilia Takatifu Kumcha Mwenyezi Mungu ni chemchemi ya uzima, ili kumwepusha mtu na mitego ya mauti. Neno: Maandiko Matakatifu Kumcha bwana ni chemchemi ya uzima, ili kumwepusha mtu na mitego ya mauti. BIBLIA KISWAHILI Kumcha BWANA ni chemchemi ya uzima, Ili kuepukana na tanzi za mauti. |
Miiba na mitego huwa katika njia ya mshupavu; Yeye aitunzaye nafsi yake atakuwa mbali nayo.
Nami nimeona lililo na uchungu kupita mauti; yaani, mwanamke ambaye moyo wake ni mitego na tanzi, na mikono yake ni kama vifungo; yeye ampendezaye Mungu atamponyoka, bali mwenye dhambi atanaswa na yeye.
Nyakati zako zitakuwa nyakati za kukaa imara; za wokovu tele na hekima na maarifa; kumcha BWANA ni hazina yake ya akiba.
Akaniambia, Imekwisha kuwa. Mimi ni Alfa na Omega, Mwanzo na Mwisho. Mimi nitampa yeye aliye na kiu, maji kutoka chemchemi ya maji ya uzima, bure.