Ametoa kwa ukarimu, na kuwapa maskini, Haki yake yakaa milele, Pembe yake itatukuzwa kwa utukufu.
Methali 14:24 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Taji la wenye hekima ni mali zao; Bali upumbavu wa wajinga ni upumbavu tu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mali ni taji ya fahari ya wenye hekima, lakini ujinga ni shada la wapumbavu. Biblia Habari Njema - BHND Mali ni taji ya fahari ya wenye hekima, lakini ujinga ni shada la wapumbavu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mali ni taji ya fahari ya wenye hekima, lakini ujinga ni shada la wapumbavu. Neno: Bibilia Takatifu Utajiri wa wenye hekima ni taji lao, bali upumbavu wa wapumbavu huzaa upumbavu. Neno: Maandiko Matakatifu Utajiri wa wenye hekima ni taji yao, bali upumbavu wa wapumbavu huzaa upumbavu. BIBLIA KISWAHILI Taji la wenye hekima ni mali zao; Bali upumbavu wa wajinga ni upumbavu tu. |
Ametoa kwa ukarimu, na kuwapa maskini, Haki yake yakaa milele, Pembe yake itatukuzwa kwa utukufu.
Kuna hazina ya thamani na mafuta katika maskani ya mwenye hekima; Bali mwanadamu aliye mpumbavu huyameza.
Nyakati zako zitakuwa nyakati za kukaa imara; za wokovu tele na hekima na maarifa; kumcha BWANA ni hazina yake ya akiba.
Nami nawaambia, Jifanyieni rafiki kwa mali ya duniani, ili itakapokosekana wawakaribishe katika makao ya milele.