Nao watumishi wote wa mfalme, walioketi langoni pa mfalme, wakainama na kumsujudia Hamani, maana ndivyo mfalme alivyoamuru wamfanyie. Lakini Mordekai hakumwinamia, wala kumsujudia.
Methali 14:20 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Maskini huchukiwa hata na jirani yake; Bali tajiri ana marafiki wengi. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Maskini huchukiwa hata na jirani yake, lakini tajiri ana marafiki wengi. Biblia Habari Njema - BHND Maskini huchukiwa hata na jirani yake, lakini tajiri ana marafiki wengi. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Maskini huchukiwa hata na jirani yake, lakini tajiri ana marafiki wengi. Neno: Bibilia Takatifu Maskini huepukwa hata na majirani zao, bali matajiri wana rafiki wengi. Neno: Maandiko Matakatifu Maskini huepukwa hata na majirani zao, bali matajiri wana marafiki wengi. BIBLIA KISWAHILI Maskini huchukiwa hata na jirani yake; Bali tajiri ana marafiki wengi. |
Nao watumishi wote wa mfalme, walioketi langoni pa mfalme, wakainama na kumsujudia Hamani, maana ndivyo mfalme alivyoamuru wamfanyie. Lakini Mordekai hakumwinamia, wala kumsujudia.
Ndipo wakamwendea ndugu zake wote, wanaume kwa wanawake, nao wote waliojuana naye hapo zamani, wakala chakula pamoja naye katika nyumba yake; nao wakampa pole na kumliwaza kwa ajili ya mateso hayo yote aliyoleta BWANA juu yake; kila mtu akampa kipande cha fedha, na pete ya dhahabu kila mmoja.