Methali 12:26 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Mwenye haki ni kiongozi wa mwenzake; Bali njia ya wasio haki huwakosesha. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mtu mwadilifu huuepa uovu, lakini njia ya waovu huwapotosha wenyewe. Biblia Habari Njema - BHND Mtu mwadilifu huuepa uovu, lakini njia ya waovu huwapotosha wenyewe. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mtu mwadilifu huuepa uovu, lakini njia ya waovu huwapotosha wenyewe. Neno: Bibilia Takatifu Mtu mwenye haki ni mwangalifu katika urafiki, bali njia ya waovu huwapotosha. Neno: Maandiko Matakatifu Mtu mwenye haki ni mwangalifu katika urafiki, bali njia ya waovu huwapotosha. BIBLIA KISWAHILI Mwenye haki ni kiongozi wa mwenzake; Bali njia ya wasio haki huwakosesha. |
Lile joka kuu likatupwa, yule nyoka wa zamani, aitwaye Ibilisi na Shetani, audanganyaye ulimwengu wote; akatupwa hata nchi, na malaika wake wakatupwa pamoja naye.
Naye awakosesha wale wakaao juu ya nchi, kwa ishara zile alizopewa kuzifanya mbele ya huyo mnyama, akiwaambia wakaao juu ya nchi kumfanyia sanamu yule mnyama, aliyekuwa na jeraha la upanga naye akaishi.